Wanasiasa Iran wachoma bendera ya marekani bungeni
- Khalidi
- May 9, 2018
- 1 min read

Wanasiasa nchini iran wamechoma bendera ya marekani bungeni baada ya kauli ya Rais wa Marekani Donld trump kutangaza kuitoa Marekani katika mkataba wa kimataifa kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, na kutangaza kurejesha vikwazo vikali vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo


Comments