top of page

WATU 8 WAFARIKI DUNIA MBEYA,

  • David
  • Apr 9, 2018
  • 1 min read

Habari tulizozipata hivi punde zinasema watu nane wamefariki dunia mmoja kujeruhiwa kutoka kwenye ajali ya ya Noah kugongana na basi katika eneo la Igodima nje kidogo ya Jiji la Mbeya. Kaimu Kamanda wa Polisi Mbeya, Mussa Taibu amethibitisha.


Comentarios


Top Stories

Join our mailing list

Never miss an update

© 2017 Fahari News 

bottom of page