SIUJUI MWILI WA NABII MWINGIRA, HUYU MTOTO SIO WAKE
- Khalidi
- Feb 27, 2018
- 1 min read
Kufutai ule utata wa kesi inayomkabili Nabii Josephat Mwingira kudaiwa kuzini na kuzaa na mke wa Dk William Moris, Dk Philis Nyimbi,
Dk William Moris alidai mbele ya mahakama ya hakaimu mkazi kisutu Kkuwa wawili hao walifanya tendo hilo hivyo kumtaka Nabii Mwingira amlipe Sh Bilioni saba kama fidia ya kuzaa na mkewe
Sasa Jana ndio ilikuwa hukumu ya kesi hiyo ya madai ambayo ilitoka katika mahakama ya hakimu mkazi Kisuti....
Comments