DK MWANJELWA AZIASA TAASISI KUIGA MFANO WA IOP, WAANZISHA SHAMBA DARASA KWA 'SINGLE MOTHERS'
- David
- Feb 24, 2018
- 2 min read

Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiwabadilishana mawazo na wakina mama wanajitegemea 'Single mothers' baada ya kukagua sehemu ya shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 mkoani Iringa kwa ajili ya kilimo cha biashara maalum kwa ajili yao, watoto yatima na wanafunzi wenye nia ya kukuza uelewa wa kilimo kutoka katika Wilaya ya Iringa hasa wa shule za msingi na awali.

Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiongea machache na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza alipofika kwa utambulisho na kuanza ziara katika Mkoa huo Februari 23 2018. Pamoja naye (kushoto) Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirenga viongozi wa wasaidizi wake mkoani humo.

Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akipata maelezo ya ujenzi wa makazi maalumu ya kujifunzia kutoka kwa Osmund Ueland Mshauri wa Shamba (kulia) kwenye eneo la shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 wakati wa ziara yake mkoani Iringa Februari 23 2018. Shamba hilo ni la kilimo cha biashara ni maalum kwa ajili ya kina mama wanaojitegemea, watoto yatima na wanafunzi wenye nia ya kukuza uelewa wa kilimo kutoka katika Wilaya ya Iringa hasa wa shule za primary na awali. Pamoja naye (kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirenga na Mwasisi wa Ilula Orphan Program (IOP) Berit Skaare.


Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akikagua sehemu ya shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 wakati wa ziara yake mkoani Iringa Februari 23 2018. Katikati ni mwenyeji wao, Mhe Amina Masenza Mkuu wa Mkoa.

Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiondoka baada ya kuzungumza na wakina mama wanaojitegemea amabao watakaonufaika na shamba darasa kuendesha maisha yao. Pamoja naye (toka kulia) ni Mkurungenzi Mtendaji wa IOP, Edson Msigwa, Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirenga, Mshauri wa Shamba hilo, Osmund Ueland, Mwasisi wa IOP, Berit Skaare na Mmoja wa watakaonufaika wa IOP, Atilio Mbungu.

Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akilakiwa na Osmund Ueland Mshauri wa Shamba sehemu ya shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 wakati wa ziara yake mkoani Iringa Februari 23 2018. Shamba hilo ni la kilimo cha biashara ni maalum kwa ajili ya kina mama wanaojitegemea, watoto yatima na wanafunzi wenye nia ya kukuza uelewa wa kilimo kutoka katika Wilaya ya Iringa hasa wa shule za primary na awali. Pamoja naye (kushoto) Mwasisi wa Ilula Orphan Program (IOP), Berit Skaare.

Naibu Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akisalimiana na mmoja wa wageni alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza (kulia) alipofika kwa utambulisho na kuanza ziara katika Mkoa huo Februari 23 2018. Kulia kwa Naibu Waziri ni Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirenga.
Comments