top of page

#liveupdates Mchezo ni mapumziko Simba wapo mbele kwa goli 1-0,

  • Khalidi
  • Feb 15, 2018
  • 1 min read

Goli la Simba limefungwa mnamo Dk ya 9' na John Boko akiunganisha kwa kichwa mpira wa adhabu ulipigwa na Shiza Ramadhani Kichuya ,,, Boko anakua na Jumla ya Idadi ya magoli 10 kwa sasa,

Baaadae John Boko alitolewa na kuingizwa Laudit mavugo baada ya kuchezewa vibaya na kupelekea kushindwa kuendelea na mchezo


Comments


Top Stories

Join our mailing list

Never miss an update

© 2017 Fahari News 

bottom of page