LOWASSA: RAIS MAGUFULI AMEIFANYA SIKU YANGU IWE NZURI
- Khalidi
- Jan 9, 2018
- 1 min read
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaaafu Mh Edward Ngoyai Lowasa Ikulu Dar es salaam
Baada ya mazungumzo hayo Mh Lowasa amempongeza Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya na ametaja baadhi ya maeneo ambayo kazi kubwa imefanyika, kuwa ni kutoa elimu bila malipo, ujenzi wa mradi wa uzalishaji wa umeme katika maporomoko ya mto Rufiji, ujenzi wa Vianda na ujenzi wa reli kwa kiwango cha kissa ambavyo vinazalisha ajira nyingi kwa watanzania
Comments