CCM YAZOA WENGINE 400, WAKIWEMO WAPINZANI NA WAMACHINGA DODOMA
- Khalidi
- Jan 8, 2018
- 1 min read

Jumla ya wanachama 411 kutoka vyama pinzani na wafanyabiashara mbalimbali (machinga) mkoani Dodoma wajeunga na chama cha Mapinduzi CCM kutokana na kushawishiwa na utebndaji wa Raisi Magufuli
Wanachana hao kutoka mkoani Dodoma wamekabidhiwa kadi zao katika uzinduzi wa kampeni za kata kwa kata uliofanyika katika ukumbi wa CCM Dodoma iliyozinduliwa na Mwenyekiti wa Wilaya ya Dodoma Mjini Daniel Mwinje
Mwinje alisema kuwa lengo kuu la kuanzaisha kampeni hizo ni kuongeza wanachama na kuua upinzani Mkoani humo
“kuhamia kwa wanachama hawa ni kutoka na juhudi za Rais wetu Magufuli za kuleta maendeleao katika taifa ikiwa ni pamoja kuoammbana na rushwa na kusimamia ipaswavyo ukusanywaji wa kodi”
Comments