top of page

WACHEZAJI SIMBA WAUNGANA NA WENZAO KUENDELEZA MAZOEZI

  • Rehema
  • Dec 19, 2017
  • 1 min read

Baadhi ya wachezaji waliokuwa kwenye michuano ya Challenge Cup wamerejea na wamejiunga na wenzao na kuendelea na mazoezi ,

mazoezi hayo ni kwaajili ya maandalizi ya michuano ya kombe la Azam Federation Cup,Ligi kuu ya Vodacom na michuano ya Mapinduzi Cup.

Richard Robert Manager wa Simba SC amesema kuwa hali za wachezaji wote ni nzuri na wanaendelea na mazoezi kama kawaida kwaajili ya Michuano mbalimbali inayo wakabili mbeleni.

“wachezaji wote waliokuwa kwenye mashindano ya CECAFA wameisha wasili na kujiunga na kikosi na kuendelea na mazoezi hapa Polisi isipokuwa wale wachezaji wanje bado hawajawasili na tunategemea tarehe ishirini watajiunga na kikosi na kuendelea na mazoezi kama kawaida”amesema Richard

Simba SC itakutana na Green Warrious Desemba 22 kwenye michuano ya Azam Federation Cup kabla ya kukutana na Ndanda FC desemba 30 kwenye mwendelezo wa Ligi kuu ya Vodacom ,mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.

anja wa Azam Complex ulioko Chamazi Jijini Dar es salaam, Mchezo huo utakuwa maalumu na utazindua michuano hiyo kwa sababu Simba SC ndie Bingwa mtetezi wa michuano hiyo.

Opmerkingen


Top Stories

Join our mailing list

Never miss an update

© 2017 Fahari News 

bottom of page