Yanga yasajili Mkongo pekee.
- Khalidi
- Dec 17, 2017
- 1 min read

Wakati Simba ikifunga dirisha dogo la usajili kwa usajili wa Kwesi kutoka Lipuli na mshambuliaji wa kutoka Msumbuji,Yanga wao wameongeza nguvu kwenye timu yao kwa kumwongeza beki kutoka Congo Kasembe (Fiston)
Comments