Mavugo agoma kusaini kwenda AFC Leopards.
- Khalidi
- Dec 17, 2017
- 1 min read

Mshambuliaji aliyetemwa na Simba kwenye dirisha dogo la usajili Laudit Mavugo amekataa kusaini mkataba na timu ya AFC Leopards ya Kenya.
Viongozi wa AFC Leopards walimfuata Mavugo wakati akiwa kwenye michezo ya Challenge na timu yake ya Burundi.
Mavugo alieleza kuwa hakuwa na taarifa ya kutemwa kwake na Simba hivyo asingeweza kusaini na AFC Leopards
Comments