top of page

BAKWATA WAKABILIWA NA UKWASI WA FEDHA.

  • Khalidi
  • Dec 17, 2017
  • 1 min read

Msemaji wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Khamis Mataka ameeleza kuwa ni kweli baraza hilo linakabiliwa na hali ngumu kifedha kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wake.

Hata hivyo, amekanusha kuwepo kwa njama za kumuondoa Kiongozi wao Mkuu kama taarifa zinavyosambaa

Aidha, Akiri BAKWATA kudaiwa jumla ya shilingi milioni 176.

Taarifa za awali zilidokezwa kuwa Baraza hilo lina ukata na wafanyakazi wake hawajalipwa mishahara kwa takribani miezi 11 na kuwa kulikuwa na mkakati wa kumwondoa Mufti kwa madai kadhaa

Comments


Top Stories

Join our mailing list

Never miss an update

© 2017 Fahari News 

bottom of page