top of page

Neno la Rais Donald Trump lapelekea wawili kufariki Jerusalem

  • Robert Lazaro
  • Dec 9, 2017
  • 1 min read

Watu wawili wameripotiwa na vyombo vya Habari nchini Israel kufariki dunia katika mapigano yaliyotokea kati ya vikosi vya Usalama vya Israel na maelfu ya Wapalestina ambao waliiandamana kupinga kutambuliwa kauli ya rais wa Marekani ya kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Jumatano iliyopita Rais Donald Trump alisema anampango wa kuhamisha ilipo Balozi ya Marekani nchini humo na kwenda Jerusalem kama mji mkuu wa nchi hiyo, kauli ambayo iliibua hasira kali kwa maelfu ya waandamanaji.


Comentarios


Top Stories

Join our mailing list

Never miss an update

© 2017 Fahari News 

bottom of page