Manula afungua milango kwa makipa Simba
- Robert Lazaro
- Dec 9, 2017
- 1 min read

Golikipa namba noja kwenye kikosi cha Simba Aishi Manula leo ameibuka rasmi mshindi wa tunzo ya mchezaji bora wa mwezi kwenye kikosi hicho ambapo golikipa Manula anakwenda kuwa kipa wa kwanza kuwahi kuppata tunzo hiyo tangu kuanzishwa kwake.
Mchezaji bora wa mwezi kwa kikosi cha Simba huchaguliwa na mashabiki wa klabu hiyo kupitia Simba App pamoja na mitandao rasmi ya klabu, Nyota ya kupata tunzo hizi kwenye kikosi cha Simba kwa golikipa Manula ilianza baada ya mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambapo mashabiki wa klabu ya Simba walimchagua Manula kuwa Man of the Match kwenye mchezo ule.

Comments