UNICEF YAUPONGEZA UONGOZI WA MKOA WA MBEYA KWA USHIRIKIANO NA USIMAMIZI WA MIRADI
- Fahari News
- Oct 4, 2017
- 1 min read

UONGOZI wa unicef umeupongeza uongozi wa Mkoa was Mbeya chini ya Mkuu wa mkoa kwa ushirikiano mkubwa wanaoupata ktk kutekeleza majukumu yao
hayo yamesemwa na mwakilishi wa unicef Bi Ulrike Gilbert Nandra Mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya katika uzinduzi mradi wa mpango wa Afya na ujasiriamali vijana uliofanyika katika Ukumbi wa Mkapa ukiendeshwa kwa pamoja kati ya Unicef na TASAF.
Mkuu wa mkoa ameipongeza unicef kwa misaada mingi katika sekta mbalimbali na amehaidi kusimamia kwa karibu miradi yote inayofadhiliwa na unicef
Comments