Floyd Mywether amtwanga mcgregor kwa tko

Baada ya tambo za bondia Conor McGregor kuelekea pambano dhidi ya Floyd Maywether ambaye hajawahi kupoteza pambano, asubuhi ya August 27 katika ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Nevada, USA majibu yalipatikana.