Mechi za kuendelea kusaka nafasi ya kucheza Fainali za kombe la Dunia mwaka 2018 zitaendelea tena mwezi Octoba raundi ya pili ya makundi.
Sweeden itaikabili Luxermburg, Oustria watachuana na Serbia, Uturuki dhidi ya Iceland, Italia ikutana na Macedonia, Hispania dhidi ya Albania, Montenegro na Dernmark, Moldova dhidi ya Wels ,Ujerumani na Ireland ya Kaskazini na England watakutana na Slovenia.