Liberia yafanya uchaguzi wa marudio.
- Admin
- Dec 26, 2017
- 1 min read
Ikiwa kila mmoja wa wagombea wa Urais wa Liberia kushindwa kupata zaidi ya kura zinazoruhusiwa na katiba, Nchi hiyo leo iko kwenye uchaguzi wa marudio.

Mchezaji bora wa Afrika na Ulaya George Weah anapewa nafasi kubwa ya kumrithi Mama Saleaf kuwa rais wa Liberia.
Comments