Klabu ya Simba yavunja mkataba na Kocha wake Joseph Omog
- Admin
- Dec 23, 2017
- 1 min read

Klabu ya Simba leo imevunja mkataba na kocha wake Joseph Omog baada ya pande zote mbili kukubaliana.
Sasa kikosi cha Simba kuwa chini ya Kocha Massoud Djuma.
Klabu ya Simba inavunja mkataba huu na kocha wake Omog baada ya matokeo ya mchezo wa jana dhidi ya Green Warrious kwenye michuano ya Azam Federetion Cup ambapo kikosi cha Simba kikiwa Bingwa mtetezi wa kombe hilo kilitolewa kwa mikwaju ya penati 4-3.
Comments