Biashara ya sungura ni moja kati ya biashara matata sana. Mtaji mdogo wa kuanzia na urahisi wa soko hufanya iwe ya pekee